Nguvu YA Maneno Katika Maisha YA Mwanadamu by Joseph Nyoni Clemence
Home > Nguvu YA Maneno Katika Maisha YA Mwanadamu
Nguvu YA Maneno Katika Maisha YA Mwanadamu

Nguvu YA Maneno Katika Maisha YA Mwanadamu


     0     
5
4
3
2
1



International Edition


About the Book

Nguvu ya maneno katika maisha ya Mwanadamu, ni kitabu kilichobeba uwezo wa maneno uliojificha ambao unapelekea kuathiri maisha ya Mwanadamu kupitia maneno chanya na hasi yanayoongelewa na Mwanadamu.Kitabu hiki nilianza kukiandika mwaka 2012 mwishoni, baadaye nilipokuja kufanya semina nilihamasishwa kuandika kitabu hiki ambacho nilikuwa nimepunguza kiasi ya kuandika hapo ndipo maarifa mengi yakaja na kuona kama naanza upya uandishi wa kitabu hiki cha Nguvu Ya Maneno Katika Maisha ya Mwanadamu.Kitabu hiki kimezungumzia maneno katika nyanja zote za Mwanadamu hivyo mtu yeyote asomapo kitabu hiki atajikuta akifunguka akili yake na kuona namna anavyohitaji kutumia maneno kwa jamii yake, ndugu, watoto, na marafiki bila kuacha kile anachotakiwa kujinenea yeye mwenyewe.Maneno huweza kuwa faraja kwa mtu yeyote yaani awe tajiri au masikini, na wa hali yoyote ile yaani huweza kuamsha akili ya mtu hata kuibadili kutoka katika aina ya maneno aliyoambiwa au aliyoyatumia na kuwa na misamiati mipya katika kichwa chake ambayo hutengeneza fikra mpya na Kutengeneza maisha mapya.Wakati mwingine maneno huweza kugeuka yakaleta hatari katika jamii.Kuwepo kwa ongezeko la wazazi kutoa motisha kwa watoto wao kwa kutumia maneno mazuri na hata walimu mashuleni, kunaweza kukafanya tujenge jamii mpya yenye maono na kupata wakati bora na watu kuwa bora katika nyanja zote yaani sayansi na teknolojia, uchumi, siasa, utamaduni na mengineyo kwani maneno ambayo moyo na watu wengi huweza kuamua kuyafanyia kazi yake maneno yaliyowagusa.Maneno yana athari kubwa katika jamii, na Katika karatasi za mbele nimeonyesha kwa upana kuhusu athari ya maneno kwa binadamu, kumbe basi: "Maneno safi ni njaa ya kila mtu hata awe adui wa watu maneno safi kwake ni kiu haswa, kila mmoja ana kiu ya kupata maneno safi na mazuri"Katika maeneo mengi kuna tatizo la watu wengi kushindwa kujua jinsi ambavyo maneno yanaweza kuathiri maisha yao.Sasa leo ninakuja kukueleza nikikuelimisha, nikikuhamasisha na kukufungua masikio katika fikra zako kuhusu siri ya maneno katika maisha.Kutokana na kufuatilia mambo mbalimbali ikiwemo wataalamu, kutumia fikra zangu, uzoefu wangu na mengineyo.Nimeweza kukuandalia kitabu hiki ambacho ni moja ya kitabu kilichobeba msingi wa maisha ya mwanadamu.Katika baadhi ya maeneo wapo watu ambao wamefanikiwa kunisikia nikifundisha suala hili kwa kupitia semina zangu.Haitakuwa rahisi kuwafikia watu wote hivyo ni vizuri kila mtu kwa nafasi yake aweze kupata hiki nilichonacho kupitia kitabu hiki nili


Best Sellers



Product Details
  • ISBN-13: 9781659559675
  • Publisher: Independently Published
  • Publisher Imprint: Independently Published
  • Height: 280 mm
  • No of Pages: 218
  • Spine Width: 12 mm
  • Weight: 566 gr
  • ISBN-10: 1659559677
  • Publisher Date: 12 Apr 2020
  • Binding: Paperback
  • Language: English
  • Returnable: N
  • Sub Title: The Power Of Words In Human Life
  • Width: 216 mm


Similar Products

Add Photo
Add Photo

Customer Reviews

REVIEWS      0     
Click Here To Be The First to Review this Product
Nguvu YA Maneno Katika Maisha YA Mwanadamu
Independently Published -
Nguvu YA Maneno Katika Maisha YA Mwanadamu
Writing guidlines
We want to publish your review, so please:
  • keep your review on the product. Review's that defame author's character will be rejected.
  • Keep your review focused on the product.
  • Avoid writing about customer service. contact us instead if you have issue requiring immediate attention.
  • Refrain from mentioning competitors or the specific price you paid for the product.
  • Do not include any personally identifiable information, such as full names.

Nguvu YA Maneno Katika Maisha YA Mwanadamu

Required fields are marked with *

Review Title*
Review
    Add Photo Add up to 6 photos
    Would you recommend this product to a friend?
    Tag this Book Read more
    Does your review contain spoilers?
    What type of reader best describes you?
    I agree to the terms & conditions
    You may receive emails regarding this submission. Any emails will include the ability to opt-out of future communications.

    CUSTOMER RATINGS AND REVIEWS AND QUESTIONS AND ANSWERS TERMS OF USE

    These Terms of Use govern your conduct associated with the Customer Ratings and Reviews and/or Questions and Answers service offered by Bookswagon (the "CRR Service").


    By submitting any content to Bookswagon, you guarantee that:
    • You are the sole author and owner of the intellectual property rights in the content;
    • All "moral rights" that you may have in such content have been voluntarily waived by you;
    • All content that you post is accurate;
    • You are at least 13 years old;
    • Use of the content you supply does not violate these Terms of Use and will not cause injury to any person or entity.
    You further agree that you may not submit any content:
    • That is known by you to be false, inaccurate or misleading;
    • That infringes any third party's copyright, patent, trademark, trade secret or other proprietary rights or rights of publicity or privacy;
    • That violates any law, statute, ordinance or regulation (including, but not limited to, those governing, consumer protection, unfair competition, anti-discrimination or false advertising);
    • That is, or may reasonably be considered to be, defamatory, libelous, hateful, racially or religiously biased or offensive, unlawfully threatening or unlawfully harassing to any individual, partnership or corporation;
    • For which you were compensated or granted any consideration by any unapproved third party;
    • That includes any information that references other websites, addresses, email addresses, contact information or phone numbers;
    • That contains any computer viruses, worms or other potentially damaging computer programs or files.
    You agree to indemnify and hold Bookswagon (and its officers, directors, agents, subsidiaries, joint ventures, employees and third-party service providers, including but not limited to Bazaarvoice, Inc.), harmless from all claims, demands, and damages (actual and consequential) of every kind and nature, known and unknown including reasonable attorneys' fees, arising out of a breach of your representations and warranties set forth above, or your violation of any law or the rights of a third party.


    For any content that you submit, you grant Bookswagon a perpetual, irrevocable, royalty-free, transferable right and license to use, copy, modify, delete in its entirety, adapt, publish, translate, create derivative works from and/or sell, transfer, and/or distribute such content and/or incorporate such content into any form, medium or technology throughout the world without compensation to you. Additionally,  Bookswagon may transfer or share any personal information that you submit with its third-party service providers, including but not limited to Bazaarvoice, Inc. in accordance with  Privacy Policy


    All content that you submit may be used at Bookswagon's sole discretion. Bookswagon reserves the right to change, condense, withhold publication, remove or delete any content on Bookswagon's website that Bookswagon deems, in its sole discretion, to violate the content guidelines or any other provision of these Terms of Use.  Bookswagon does not guarantee that you will have any recourse through Bookswagon to edit or delete any content you have submitted. Ratings and written comments are generally posted within two to four business days. However, Bookswagon reserves the right to remove or to refuse to post any submission to the extent authorized by law. You acknowledge that you, not Bookswagon, are responsible for the contents of your submission. None of the content that you submit shall be subject to any obligation of confidence on the part of Bookswagon, its agents, subsidiaries, affiliates, partners or third party service providers (including but not limited to Bazaarvoice, Inc.)and their respective directors, officers and employees.

    Accept

    New Arrivals



    Inspired by your browsing history


    Your review has been submitted!

    You've already reviewed this product!