'Subiri kidogo! Mwana sikumwua...lakini Anadhani nilimwua! Ni lazima nimpunguzie Mwanao mpendwa... si ndiye aliyeua mwanangu...? Kisha wote wawili kinyama chembe ya mbawazi?! Ulimtuma wewe huo, sivyo? Sema ukweli! Ulitaka mwanao vyovyote vile, sivyo?"...
Akazidi kushindilia ncha ya jambia mpaka ikachubuka na ki tone kimojakimoja kudondoka. Mwanalibasi sasa akalia . "Unataka kujua aliyemwua mwanao? miye na tayari wewe mwenyewe wamjua Enhee, naona umeshamtambua, na utambuzi ndipo! Si mwingine, kama mimi na wewe ila yeye huyo mwanga wenu! Wewe amekuulia mimi aliniulia mume wangu na mwanangu mwenzio....
"Wi ...hebu nitazame. Mimi huyu hapa wi yako...umri ndio
huo, mbele wasonga, nyuma haurudi, sina mume, sina nini,
na kuolewa tena kwangu ni muhali!
Siri Sirini: Mtihani wa Mwanamke (Kitabu cha 3) ni riwaya ya
mwisho katika msururu wa riwaya tatu za Siri Sirini. Ni u chuzi
wa siri iliyotanda katika kitabi cha 1 na cha 2.
Rocha M. Chimerah atakuja kuvunja rekodi na kuweka historia
katika riwaya ya Kiswahili. Ukisoma msururu wa Siri Sirini: Kitabu
cha 1 hadi cha 3 utaa kiana na kauli hii!
Chapa ya Longhorn Publishers
'Subiri kidogo! Mwana sikumwua...lakini mamake hajui!
Anadhani nilimwua! Ni lazima nimpunguzie simanzi!' ...
Mwanao mpendwa... si ndiye aliyeua mume wangu na
mwanangu...? Kisha wote wawili kinyama kabisa, bila hata
chembe ya mbawazi?! Ulimtuma wewe kutekeleza uovu
huo, sivyo? Sema ukweli! Ulitaka mwanao atawale kwa
vyovyote vile, sivyo?"...
Akazidi kushindilia ncha ya jambia mpaka ngozi ya Malkia
ikachubuka na kitone kimojakimoja cha damu kuanza
kudondoka. Mwanalibasi sasa akalia kwa nguvu.
.
. .
"Unataka kujua aliyemwua mwanao? Ya nini kukwambia
miye na tayari wewe mwenyewe wamjua barabara ? . .
.
Enhee, naona umeshamtambua, na utambuzi wako umesibu
ndipo! Si mwingine, kama mimi na wewe tunavyofahamu,
ila yeye huyo mwanga wenu! Wewe amekuulia mwanao...
mimi aliniulia mume wangu na mwanangu pia; nipe pole
mwenzio....