Zijue Nyakati Za Maisha by Martin Majengo at Bookstore UAE
Home > History & Humanities > Religion & Spirituality > Christianity > Christian life & practice > Zijue Nyakati Za Maisha
Zijue Nyakati Za Maisha

Zijue Nyakati Za Maisha


     0     
5
4
3
2
1



Out of Stock


Notify me when this book is in stock
About the Book

Shauku ya kila mwanadamu ni kuwa na maisha mazuri, ya utele na amani wakati wote. Kwa bahati mbaya maisha ya mwanadamu yamekuwa na changamoto nyingi ambazo zimemfanya mwanadamu kuchanganyikiwa na kuanza kukimbizana na kila kitu ili kupata anachohitaji. Kila mwanadamu kwenye dunia hii aliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu (Mwanzo 1:26-27). Kila mwanadamu aliumbwa baada ya vitu vyake yaani, Mungu aliumba kila kitu kwa ajili ya mwanadamu kabla ya kumumba mwanadamu. Mwanadamu alipewa kutawala vitu vyote, aliweza kupata chochote wakati wowote alipokihitaji. Lakini aliposhindwa kutii neno la Mungu alinyang'anywa vyote, akafukuzwa nje ya bustani ya Edeni na akalaaniwa kuwa kwa jasho atakula (Mwanzo 3:19). Tangu wakati huo mwanadamu amekuwa na nyakati ngumu kuyakabili maisha.

Mwandishi wa kitabu hiki amefafanua aina kuu tatu za nyakati katika maisha ya mwanadamu. Nyakati hizo ni (1) wakati wa mtu binafsi na dunia yake, (2) wakati wa shughuli za mtu duniani (3) wakati wa dunia yote. Nyakati hizi zinaathiri maisha ya mtu katika harakati zake za kuyatafuta mafanikio.Mwandishi amefafanua kwa kina maana ya nyakati zote tatu katika maisha ya mwanadamu katika harakati zake za kuyatafuta mafanikio katika sura nne za mwanzo za kitabu hiki. Katika sura ya tano, mwadishi amefafanua kwa kina mbinu anazotumia Shetani ili kuwafelisha watu kufikia maono yao au ndoto zao. Sura ya sita mwandishi ameeleza kwa kina namna ya kumshinda shetani na hila zake. Sura ya Saba mwandishi ametoa ushuhuda wa maisha yake binafsi kudhihirisha kwa vitendo jinsi nyakati katika maisha ya mwanadamu zinavyoweza kumpa changamoto na kwamba mwisho wa nyakati zote Mungu atakupa mafanikio unayoyataka.

Usikimbizane na maisha, utaumia. Mtume Paulo alionya katika waraka wake kwa Timotheo akisema, "Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi." 1 Timotheo 6:10. Mfalme Sulemani aliyepewa kujua kila wakati katika dunia na makusudi yake anasema, "Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao;" Mhubiri 3:11a.

Fuatana na mwandishi wa kitabu hiki hatua kwa hatua nawe utajifunza namna gani ya kuyakabili maisha katika nyakati hizi za mwisho zenye changamoto nyingi za mabadiliko ya hali ya hewa, vita, magonjwa ya milipuko kama vile Covid-19 zinazopelekea mdororo wa kiuchumi unaoathiri mpaka nchi zenye uchumi mkubwa kama vile China, Marekani na nchi zote za magharibi. Mungu ameweka wakati sahihi wa wewe kufanikiwa, mwamini Mungu (Waebrania 11:1, 6) nawe utakuwa na mwisho mwema (Yeremia 29:11).


Best Sellers



Product Details
  • ISBN-13: 9798372550070
  • Publisher: Amazon Digital Services LLC - Kdp
  • Publisher Imprint: Independently Published
  • Height: 229 mm
  • No of Pages: 126
  • Spine Width: 7 mm
  • Width: 152 mm
  • ISBN-10: 8372550077
  • Publisher Date: 22 May 2023
  • Binding: Paperback
  • Language: English
  • Returnable: N
  • Weight: 231 gr


Similar Products

Add Photo
Add Photo

Customer Reviews

REVIEWS      0     
Click Here To Be The First to Review this Product
Zijue Nyakati Za Maisha
Amazon Digital Services LLC - Kdp -
Zijue Nyakati Za Maisha
Writing guidlines
We want to publish your review, so please:
  • keep your review on the product. Review's that defame author's character will be rejected.
  • Keep your review focused on the product.
  • Avoid writing about customer service. contact us instead if you have issue requiring immediate attention.
  • Refrain from mentioning competitors or the specific price you paid for the product.
  • Do not include any personally identifiable information, such as full names.

Zijue Nyakati Za Maisha

Required fields are marked with *

Review Title*
Review
    Add Photo Add up to 6 photos
    Would you recommend this product to a friend?
    Tag this Book Read more
    Does your review contain spoilers?
    What type of reader best describes you?
    I agree to the terms & conditions
    You may receive emails regarding this submission. Any emails will include the ability to opt-out of future communications.

    CUSTOMER RATINGS AND REVIEWS AND QUESTIONS AND ANSWERS TERMS OF USE

    These Terms of Use govern your conduct associated with the Customer Ratings and Reviews and/or Questions and Answers service offered by Bookswagon (the "CRR Service").


    By submitting any content to Bookswagon, you guarantee that:
    • You are the sole author and owner of the intellectual property rights in the content;
    • All "moral rights" that you may have in such content have been voluntarily waived by you;
    • All content that you post is accurate;
    • You are at least 13 years old;
    • Use of the content you supply does not violate these Terms of Use and will not cause injury to any person or entity.
    You further agree that you may not submit any content:
    • That is known by you to be false, inaccurate or misleading;
    • That infringes any third party's copyright, patent, trademark, trade secret or other proprietary rights or rights of publicity or privacy;
    • That violates any law, statute, ordinance or regulation (including, but not limited to, those governing, consumer protection, unfair competition, anti-discrimination or false advertising);
    • That is, or may reasonably be considered to be, defamatory, libelous, hateful, racially or religiously biased or offensive, unlawfully threatening or unlawfully harassing to any individual, partnership or corporation;
    • For which you were compensated or granted any consideration by any unapproved third party;
    • That includes any information that references other websites, addresses, email addresses, contact information or phone numbers;
    • That contains any computer viruses, worms or other potentially damaging computer programs or files.
    You agree to indemnify and hold Bookswagon (and its officers, directors, agents, subsidiaries, joint ventures, employees and third-party service providers, including but not limited to Bazaarvoice, Inc.), harmless from all claims, demands, and damages (actual and consequential) of every kind and nature, known and unknown including reasonable attorneys' fees, arising out of a breach of your representations and warranties set forth above, or your violation of any law or the rights of a third party.


    For any content that you submit, you grant Bookswagon a perpetual, irrevocable, royalty-free, transferable right and license to use, copy, modify, delete in its entirety, adapt, publish, translate, create derivative works from and/or sell, transfer, and/or distribute such content and/or incorporate such content into any form, medium or technology throughout the world without compensation to you. Additionally,  Bookswagon may transfer or share any personal information that you submit with its third-party service providers, including but not limited to Bazaarvoice, Inc. in accordance with  Privacy Policy


    All content that you submit may be used at Bookswagon's sole discretion. Bookswagon reserves the right to change, condense, withhold publication, remove or delete any content on Bookswagon's website that Bookswagon deems, in its sole discretion, to violate the content guidelines or any other provision of these Terms of Use.  Bookswagon does not guarantee that you will have any recourse through Bookswagon to edit or delete any content you have submitted. Ratings and written comments are generally posted within two to four business days. However, Bookswagon reserves the right to remove or to refuse to post any submission to the extent authorized by law. You acknowledge that you, not Bookswagon, are responsible for the contents of your submission. None of the content that you submit shall be subject to any obligation of confidence on the part of Bookswagon, its agents, subsidiaries, affiliates, partners or third party service providers (including but not limited to Bazaarvoice, Inc.)and their respective directors, officers and employees.

    Accept

    New Arrivals



    Inspired by your browsing history


    Your review has been submitted!

    You've already reviewed this product!